Letra Roho yangu de Dena Mwana

Letra de Roho yangu

Dena Mwana


Roho yangu
Dena Mwana
(0 votos)
Mmh mmh, mmmh

Sijuwi nitete ejeKwani maneno ya mimenipita aah
Nguvu na ukubwa wa pendo lako
Huwezi kupimwa

Hujuwa niya zangu uuh
Baba hujuwa uga wangu ouuh
Maneno yangu machache kukueleza
Upendo wangu kwako

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbia
Sikiya nyimbo ya upendo ooouh
Wa mtoto uliye mkombowa aah

Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikia roho yangu

Aaaah aah aaah
Aaaah aah aaah

Sasa kama mvuwa
Maneno yangu yange tiririka aah
Ninge kuwa na miguu mikononi mwangu
Singeweza kusimama

Ila ndani ya roho yangu ooouh
Baba hujuwa yote eiiii
Ahsante kwa maisha ukweli njiya
Baba ubarikiwe

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbia
Sikiya nyimbo ya upendo oooh
Wa mtoto uliye mkombowa aah

Nita chukua maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikia roho yangu

Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbia
Sikiya nyimbo ya upendo oooh
Kwa mtoto uliye mkombowa aah

Nitachukua maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya roho yangu mmh

Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya roho yangu

Baba baba
Ba aaaah aah ba, baa aah aaah ba
Ba aaaah aah
Baabababababa

Kweli siwezi
Kusema chochote eii
Baba wangu
Babaaa

Kwa kweli siwezi
Sema chochote
Sikiya Roho Yangu


Comparte Roho yangu! con tus amigos.


Que tal te parece Roho yangu de Dena Mwana?
Pesima
Mala
Regular
Buena
Excelente