Letra Wivu de Jux

Letra de Wivu

Jux


Wivu
Jux
(0 votos)
Eiyeh,
niamini leo hii, sitamani mwingine tena,
kazi zangu mishemishe,
nitarudi nyumbani mapema,
unachonipa baby, sitokaa nikuumize,
na zile raha unazonipa, wewe,

napenda unavyokata, na kunipa taratibu,
mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu,
nikikushika unanitazama unaona aibu,
we tabibu, unanipa raha,
napenda unavyokata, na kunipa taratibu,
mi ni mgonjwa we ni dokta unanitibu,
nikikushika unanitazama unaona aibu,
we tabibu, ila -ilaa
husije fanya visa mina wivu,
na moyo utaniumiza mina wivu,
na hofu watakuteka mina wivu,
sitaki nile mbichi wao mbivu x2
naandika ngoma ya mapenzi nakuona wewe,
na vinanda vya bob vya bembeleza,
nishagoma kwingine, kwako nipewe,
umeniteka mazima nimelegeza,
and everything i do for you,
is from my heart as you know,
na kila siku mimi napambana we ubagamee,

ah ah ah aah, x4
husije fanya visa mina wivu,
na moyo utaniumiza mina wivu,
na hofu watakuteka mina wivu,
sitaki nile mbichi wao mbivu x2


Comparte Wivu! con tus amigos.


Que tal te parece Wivu de Jux?
Pesima
Mala
Regular
Buena
Excelente