Letra Hayawani de Nyashinski

Letra de Hayawani

Nyashinski


Hayawani
Nyashinski
(0 votos)
Kabla Suala ukamilishe Mum
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisije zama Mashetani yasinivamieChuki wivu tunakutesa
Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda
Oii wenzangu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu dunia nzima itakucheka

Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema
Kesho wapigie demu wangu simu asahau alivyonipenda!

Ooo Hayawani Hayayayaya Hayawani hawa si watu hawa
Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama Hayawani
(Hayawani), Hayawani (hayawani), Hayawani (hayawani) hayayayaya
Hayawani, (hayawani)
Hayawani (hayawani), Hayawani (hayawani) hayayayaya

Tunaongezea nini bidii?
Na roho ya mwanadamu haitosheki aki
I′m sorry if I never made u happy I can't be there for everybody
It′s easy to see wengi huishi kutafuta kasoro kwako
Why man so money minded?
You wanna take from everyone
Man eat man society
Huoni haya kuvunja familia
Hamna utu ni kujifikiria
Woii binadamu wote mmegeuka

Hayawani Hayayayaya Hayawani hawa si watu
Hawa Hayayayaya Binadamu kageuka mnyama! Hayawani

(Hayawani) Hayawani (Hayawani) Hayawani
(Hayawani) Hayawani (hayawani) hayayayayaya

Hayawani (Hayawani) Hayawani
(Hayawani) Hayawani (hayawani) hayayayayaya

Kabla Suala ukamilishe Mum

Tafadhali Mola mwambie Milele anichunge mi nisije zama
Mashetani yasinivamie
Chuki wivu tunakutesa
Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda
Oii wenzangu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu dunia nzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu Wabaki hao ndio kusema
Kesho wapigie demu yangu simu asahau alivyonipenda!

Hayawani eeeeh hayawani
Hayawani eeeeh hayawani
Hayawani eeeeh hayawani
Hayawani eeeeh hayawani


Comparte Hayawani! con tus amigos.


Que tal te parece Hayawani de Nyashinski?
Pesima
Mala
Regular
Buena
Excelente