Letra Mbeba Maono de Bahati Bukuku

Letra de Mbeba Maono

Bahati Bukuku


Mbeba Maono
Bahati Bukuku
(0 votos)
Ndoto ya Yusufu alipowaambia ndugu zake
Maono ya Yusufu alipowaambia ndugu zake
Kwamba ameona wakimwabudu, wakimsujudia
Kwamba ameona wakimwabudu, na kumsujudia
Ndoto ya Yusufu ndicho kilikuwa chanzo
Ndoto ya Yusufu kilikuwa ni chanzo cha vita yake
Mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi nawe
Mbeba maono hafi, inuka Bwana ana kusudi nawe

Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie
Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane
Mbeba maono hafi, ni lazima yatimie
Mbeba maono hafi, ni lazima yaonekane


Comparte Mbeba Maono! con tus amigos.


Que tal te parece Mbeba Maono de Bahati Bukuku?
Pesima
Mala
Regular
Buena
Excelente