[Verse 1]
Nyama zetu za ulimi
Zikikutana asali
Bonyea chini
Chagama kama tayari
Leo tule nini
Mihogo ya Coco kwa kachumbari
Si unanjuaga mimi
Kitandani huwa hodari
Kama umeniroga (Aaaah eeh)
Mganga wako fundi mama
Ameniweza (Nilichomeza me sijatema)
Chumvi kwa kikogwa
Wali maini ndizi nyama
Umenilegeza (Ukinigusa tuu natetema)
[Bridge]
Nikishuka kifuani baby
Naomba nipate supu
Ya nyama laini kama mapupu
Yale ya gizani baby
Nje tusiyaruhusu
Kwa majirani
Wambea wakina lufufu