Letra Nimekuzoea de Mbosso

Letra de Nimekuzoea

Mbosso


Nimekuzoea
Mbosso
(0 votos)
Hujaacha tobo uliloniachia ni bonge la tundu
Sina nyendo, mama kaninunia nahisi gundu
Nakunywa gongo najisaidia nguoni aibuUu walongo kitanda changu ndio chooni
Wee ndio sababu, wewe sababu

Butu mobimba nazo lela
Naumia sana nimekuzoea
Butu mobimba nazo lela, mama
Naumia sana, nimekuzoea

Mmh ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe, sura yako
Nishasomewa vitabu bado vinasema wewe
Nikifa maiti yako yeah

Ah, aya yaya, aya yaya
Na machozi hayataki kauka
Ah, aya yaya, aya yaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ah, aya yaya, aya yaya
Na machozi hayataki kauka
Aya yaya, aya yaya

Utamu wa nanasi
Ghafla huwa mchungu sana
Ukinywa maji
Baby wangu wasi-wasi, nani kakuficha mama?
Rudi basi

Ah
Tajiri wa huzuni machozi kwangu bwelele
Upepo wa firauni umemkumba ngedele
Mfukoni mbuni vichenji-chenji njenjere
Ah, namaliza sabuni mdomo koma kelele

Butu mobimba nazo lela
Naumia sana nimekuzoea
Butu mobimba nazo lela, mama
Naumia sana, nimekuzoea

Mmh ndoto za ajabu
Kichwani unakuja wewe, sura yako
Nishasomewa vitabu
Viote vinasema wewe, nikifa musiba wako (yeah-eh-eh)

Ah, aya yaya, aya yaya
Na machozi hayataki kauka
Ah, aya yaya, aya yaya
Nafuta kushoto kulia yashuka
Ah, aya yaya, aya yaya
Na machozi hayataki kauka
Aya yaya, aya yaya

Moyo una (malenge lenge)
Moyo wangu eh (malenge lenge)
Na hema kwa shida (malenge lenge)
Biashara yangu ya mapenzi (malenge lenge)
Ni hasara si faida (malenge lenge)
Maazoea (malenge lenge)
Nimekuzoea (malenge lenge)
Ah-ah-ah (malenge lenge)
Nimekuzoea


Comparte Nimekuzoea! con tus amigos.


Que tal te parece Nimekuzoea de Mbosso?
Pesima
Mala
Regular
Buena
Excelente